Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

What’s this
 
Vipi huyo mumeo ni kapuku nini Hana Mali zozote za maana anazomiliki zaidi ya mashati yake ya drafti drafit na suruali za vitambaa za kuendea kanisani???

Nasema hivi kwa sababu kwa wanawake wenzako wa miaka hii, ikitokea kama hivi mume kuchepuka wanaona ndio mwanya wa kuvunja ndoa na kisha kuondoka na nusu ya Mali zote za mume wake na kwenda kuishi maisha mapya ya usuper woman.

realMamy hebu njoo umpe mwenzako darasa, amepata gap anashindwa kulitumia
 
Halafu kuna mtu anadai tuje kwa majina yetu halisi na sio ID kificho.
 
Boya huyo njoo kwetu tukupe haki yako!
 
T
The good man is hard to find, and the hard man is good to find so lady find your hard
 
Umesema ulikuwa unaangalia porn na kujichua mbele yake??

Is this serious??
 
Wanawake wa hovyo usilie lie nyuma ya keyboard mkiambiwa mashoga wengine sio mashoga hamuelewi

Nyumba yako ipe faragha rafiki majirani unamuacha shoga akifika kwako ajiskie yupo nyumbani hata Mimi ukiniletea uzungu kwangu nakukula wewe na shoga yako ukinifumania ntakuomba msamaha Ila ukirudia kuleta tena mashoga ntarudia tena kukula wewe na shoga yako

NYIE WANAWAKE KAMA MAVI YA NG'OMBE UKIMUONA KAMA MALAIKA KUMBE ANAKUSUBIRI UJICHANGANYE
 
Pole Sanaa Duniani mko na dhiki Kubwa Ila Jipeni Moyo Maneno Ya Faraja Sanaa Kutoka Kwa (Jesus Christ) La Msingi Usiache Kuomba Mungu akupe Nguvu na Maarifa Njia ipo ya kutoka hapo na Kufika Unapotaka ukiwa na Amani Tele.
 
Yani Dada Hujatujua Wanaume Sisi Wanaume ndio Tulivyo umbwa tokea zamani Enzi na Enzi sisi ni Dhaifu sanaaa kwa Jinsia ya kike Hata Mtu ajifanye Mtakatifu sijui shehe sijui askofu Linapokuja kwnye swala la Mzagamuo hatuna Ujanja ila Sasa inadepend umezama Vip kwa huyo Mchepuko Mfano kama wa huyo Jamaa Kutembea na rafiki wa mkewe Mpka mkewe kujua Ujue hapo Jamaa Hana hofu na mkewe kabsa kwamba Liwalo na liwe sasa ukiona hali hiyo ujue Kuna shida mahali usilaum upande mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…