Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
FAKE FAKE FAKE!!! Haya sio maneno yangu na hiyo ni account FAKE! Imeandikwa, Usimshuhudie jirani yako uongo-Lazaro Nyalandu on twitter
View attachment 1526432
Ampongeza Lissu:
PONGEZI SANA kaka Mh.Tundu Lissu kwa USHINDI wa KISHINDO ulioupata BARAZA KUU CHADEMA kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Chetu. Nakupongeza kwa dhati na tutashirikiana kuhakikisha Chama Chetu kinashinda Oktoba 28, 2020-Lazaro Nyalandu on twitter.
Nyarandu, ni asset. Na kwa hili anazidi kujiongezea kuaminika kwake zaidi.FAKE FAKE FAKE!!! Haya sio maneno yangu na hiyo ni account FAKE! Imeandikwa, Usimshuhudie jirani yako uongo-Lazaro Nyalandu on twitter
View attachment 1526432
Ampongeza Lissu:
PONGEZI SANA kaka Mh.Tundu Lissu kwa USHINDI wa KISHINDO ulioupata BARAZA KUU CHADEMA kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Chetu. Nakupongeza kwa dhati na tutashirikiana kuhakikisha Chama Chetu kinashinda Oktoba 28, 2020-Lazaro Nyalandu on twitter.
Anaonyesha ukomavu wa kisiasa alionao.Nyarandu, ni asset. Na kwa hili anazidi kujiongezea kuaminika kwake zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
MATAGA wanahangaika,na leo hawalali.Wale wa FAKE NEWS wako busy Mkuu tuwe macho kula nao sahani moja. Wamegundua mtindo wa kuhack accounts kule Twitter last week walihack account ya Sugu na kufanya yao.
MATAGA wanahangaika,na leo hawalali.
Wale wa FAKE NEWS wako busy Mkuu tuwe macho kula nao sahani moja. Wamegundua mtindo wa kuhack accounts kule Twitter last week walihack account ya Sugu na kufanya yao.
Endeleeni kuotaNyalandu sio chizi kama wale wengine. Anawajua wasiomtakia mema.
Meko ajiandae kufungasha virago pale Chamwino. Propaganda za kipuuzi hazina nafasi mara hii.
Mkuu tatizo huwa hamkumbuki upande wa pili. Hambakishi maneno, Sasa yanawatokea mnaona Sio Sawa. Always fanyeni Siasa za kimaendeleo. Pongeza. Kosoa kwa Adabu Ukiwa na mawazo mbadala mapana. Ila Poleni sana mnaweza wapa ushindi ccm asubuhi sana. Mana Lissu Ana majanga mengi sana.
Kwa wapiga kura lissu yuko vizuri sana, cha msingi time waache uwanja saw a.Mkuu tatizo huwa hamkumbuki upande wa pili. Hambakishi maneno, Sasa yanawatokea mnaona Sio Sawa. Always fanyeni Siasa za kimaendeleo. Pongeza. Kosoa kwa Adabu Ukiwa na mawazo mbadala mapana. Ila Poleni sana mnaweza wapa ushindi ccm asubuhi sana. Mana Lissu Ana majanga mengi sana.
Hicho ni kitengo mahsusi chini ya Polepole. Ndio wale walikuwa wanatengeneza tuzo fake za Magufuli eti huko South Afrika kidogo zifukuzishe kazi watu TBC1 baada ya kuzishabikia habari hizo za aibu bila kuchunguza mwaka 2017.Wale wa FAKE NEWS wako busy Mkuu tuwe macho kula nao sahani moja. Wamegundua mtindo wa kuhack accounts kule Twitter last week walihack account ya Sugu na kufanya yao.
Jambo moja kuu namsifu meko ni kile kitendo cha kuwaalika wanaccm pale Chamwino na kufanya party kubwa ya kuiaga Ikulu.Nyalandu sio chizi kama wale wengine. Anawajua wasiomtakia mema.