Baada ya matokeo, Nyalandu azushiwa mtandaoni kutaka kuhamia ACT-Wazaleno. Mwenyewe akana, na zaidi kampongeza Lissu

Kuna maneno huwa natamani niwaite CCM ila basi tu. Hongera sana Lissu
 
Nyalandu sio chizi kama wale wengine. Anawajua wasiomtakia mema.

Meko ajiandae kufungasha virago pale Chamwino. Propaganda za kipuuzi hazina nafasi mara hii.
Bashite umeomba kumlinda kama utahitajika any time hata saa tisa usiku. Umesema hayo wakati unakabidhi ofisi ya mkuu wa mkoa kwa kinyongo.
 
Lazaro na libasi lote lile lenye picha yake. Kazunguka mikoa yote huku mtu aliyekuwa kajikalia Ugaibuni kamshinda.


Kweli siasa ni siasa.
 
Mlivyomchinja mhamiaji toka CCM ndivyo waliohama CDM walivyochinjwa na wajumbe
 
Lazaro na libasi lote lile lenye picha yake. Kazunguka mikoa yote huku mtu aliyekuwa kajikalia Ugaibuni kamshinda.


Kweli siasa ni siasa.
Wahamiaji wabaya wao wajumbe, iwe CCM au Chadema
 
Mbona wewe huleti hiyo tweet isiyo fake ?
 
Hiyo tweet ni yake kafikisha ujumbe kwa chadema,asijifanye kukanusha 😕
 
Watahangaika sana. They are under panic! They are creating face accounts. We shall see more coming. Let CHADEMA prepare for the worst.
 
Hicho ni kitengo mahsusi chini ya Polepole. Ndio wale walikuwa wanatengeneza tuzo fake za Magufuli eti huko South Afrika kidogo zifukuzishe kazi watu TBC1 baada ya kuzishabikia habari hizo za aibu bila kuchunguza mwaka 2017.
Huyu new jesus in town amewatia watu wengi majaribuni
 
MsilolijuaNyalandu na Lissu ni makaka kutoka Singida na wanaunda Singida United kwanza msiwachonganishe
 
Ila wajumbe jamani kumbe sio CCM ama CHADEMA Yaan hadi Nyalandu wamemfokea sijuwi yale mabasi atayaedit.
 
Ujumbe gani wakati kapata kura 8%? Ccm mna propaganda za kizee ile mbaya.
CCM haina huo muda wa kuwafanyia propaganda watu waliofeli tayari nyalandu alijua atapita lile ni dongo kwenu
 
.... safari hii habari za uchaga na ukaskazini hazisikiki tena kutokea upande wa pili. Nyalandu - Nyiramba (Singida); Lissu - Nyaturu (Singida); Majige - Mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…