Baada ya matokeo ya mechi za leo kundi la Taifa stars ni la kifo.

Kwa hapa kwa mechi zilizobaki, mechi ngumu ni hiyo ya Madagascar tena kwao, hapa home tunaweza kutoboa vzr tu, lkn nguvu zote kwa mechi zote mbili dhidi ya Congo na Madagascar
 
Madagascar ndugu zetu wa damu hawa, hawana baya na sisi. Huyu mkongo tunaweza kumpiga.
 
next game dr congo amfunge benin.. the last game y stars ; stars amfunge dr congo.. stars atamilza top of the group.
 
next game dr congo amfunge benin.. the last game y stars ; stars amfunge dr congo.. stars atamilza top of the group.
Pamoja hii hesabu yako, kwrnye mpira lolote laweza kutokea, kwenye play off sijui tunakutana na nani?
 
Kwenda Qatar sio safar rahis. Africa zinatakiwa ziwe timu 5 tu. Heheheh kuna yale majamaa yao yana namba za kudumu kule WORLD CUP
Algeria, Tunisia, Senegal. Nafasi mbili nyie wengne akna Tanzania ndo mnagombania na hapo wenye uhakika wa kuipata ni Ivory Coast, Ghana, Cameroon, Nigeria, Morocco, Egypt n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…