Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madagascar wako vzuri kimbinu, kiuchezaji na kifiziki. Tusiwachukulie poa wanaweza kutupiga 3 bila huko kwao. Gemu za Taifa Stars zilizobaki iwe fainali mpela mpela mwanzo mwisho.
Msuva aendelee kutubeba mgongoni.
Nani akuachie kwa nafasi tamu ya Qatar? Nani? Hapa ni kutafuta ushindi tu no matter whatTutamtuma Mzee wa Jalalani akabonge na rais wa Madagasca ili watuachie.
Atapozwa na kile kinywaji atasahau kazi tuliyomtuma, hahaTutamtuma Mzee wa Jalalani akabonge na rais wa Madagasca ili watuachie.
Nani akuachie kwa nafasi tamu ya Qatar? Nani? Hapa ni kutafuta ushindi tu no matter what
Na.hapo Benin wanafanyaje muda huoCongo afe tz piga ua afu tutafte sare madagascar
Hivi mzee wa jalalani yupo TZ kweli? kimya kingi!Tutamtuma Mzee wa Jalalani akabonge na rais wa Madagasca ili watuachie.
Pamoja hii hesabu yako, kwrnye mpira lolote laweza kutokea, kwenye play off sijui tunakutana na nani?next game dr congo amfunge benin.. the last game y stars ; stars amfunge dr congo.. stars atamilza top of the group.
Next game tupo na congo, Wale Benin wapo na Madagascar Mkuunext game dr congo amfunge benin.. the last game y stars ; stars amfunge dr congo.. stars atamilza top of the group.