Baada ya matokeo ya ualimu je kunauwezekano wa kupelekwa jkt?

Baada ya matokeo ya ualimu je kunauwezekano wa kupelekwa jkt?

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
Wakuu kwanza nawatakia eid mubaraka ila cha pili nilikua naomba kujuzwa kama ndugu zetu walimu baada ya matokeo yao kuna habar zimezagaa kuwa wanapelekwa jkt,je kuna ukweli wowote tafadhali naomba kujuzwa
 
hatu wapeleki tafadhali,tunashughulika na wanafunzi tu kwa sasa na wale wa kujitolea
 
Back
Top Bottom