Wakuu kwanza nawatakia eid mubaraka ila cha pili nilikua naomba kujuzwa kama ndugu zetu walimu baada ya matokeo yao kuna habar zimezagaa kuwa wanapelekwa jkt,je kuna ukweli wowote tafadhali naomba kujuzwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.