KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Wakuu habari za weekend?
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mwanzo nilikuwa na nywele nzuri kiasi (kipilipili)baadae nikaona niwe napaka super black.
Cha kushangaza nisipopaka super black nywele zinakuwa nyekundu (imagination). Hii ilipelekea kuwa mtumwa wa super black, hali hii inaniboa na nimechoka kuwa mtumwa wa super black. Na nywele zangu naona zinapungua kadri siku zinavoenda.
Ni mafuta gani ya nywele yanaweza kurudisha nywele zangu vizuri (nataman hata za mwanzo). Napenda sana nywele nyingi na nyeusi tiiiii. Nimetumia mafuta kadhaa ya nywele kama castor oil lkn waaap.
Natanguliza shukrani.