Baada ya matumizi ya superblack nywele zangu zimeharibika

Japo post ya muda ila super black ni kawaida yake kuharibu nywele ikiisha lazima iwe nyekundu lazima uwe mteja au uzinyoe uanze upya uzitibie ndo zinaweza rudi hali yake upate shampoo na conditioner za Cantu japo bei ila ndo nzuri Hazina paraben Wala sulphate upate shampoo za sulphate free pia zingatia ulaji wa health upate matunda mbogamboga za green unywe maji sana,pakaa extra virgin coconut oil au olive oil utapata supermarket ukiweza meza suppliment Yaani za Vitamin and minerals nywele zako zitakuwa sawa na kwakua ni post ya 2021 vp nywele zikoje kwasasa.
 
Asante kwa kujali kiongozi japo ni suala la muda mrefu.Kwa sasa hiyo hali bado inanitesa na hii ni kulingana na mazingira niliyopo siyo rahisi kupata mbadala kama ulivyoanisha hapo juu even though bado miezi minne nitoke mazingira haya.
 
Wakuu habari za weekend?

Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mwanzo nilikuwa na nywele nzuri kiasi (kipilipili)baadae nikaona niwe napaka super black.

Cha kushangaza nisipopaka super black nywele zinakuwa nyekundu (imagination). Hii ilipelekea kuwa mtumwa wa super black, hali hii inaniboa na nimechoka kuwa mtumwa wa super black. Na nywele zangu naona zinapungua kadri siku zinavoenda.

Ni mafuta gani ya nywele yanaweza kurudisha nywele zangu vizuri (nataman hata za mwanzo). Napenda sana nywele nyingi na nyeusi tiiiii. Nimetumia mafuta kadhaa ya nywele kama castor oil lkn waaap.

Natanguliza shukrani.
Nyoa na uanze upya.
 
Asante kwa kujali kiongozi japo ni suala la muda mrefu.Kwa sasa hiyo hali bado inanitesa na hii ni kulingana na mazingira niliyopo siyo rahisi kupata mbadala kama ulivyoanisha hapo juu even though bado miezi minne nitoke mazingira haya.
Mungu akufanyie wepesi
 
Mkuu. Hauna haja ya kunyoa. Tafuta mafuta yanaitwa "Afro American" ..ni meusi kwa ndani.

Hakikisha unanunua original. Kopo dogo kabisa ni kuanzi 3000.

Ndani ya mwezi utanishukuru. Pia kwa wale wenye mvi hii ni dawa kabisa.
 
Kuwa na nywele nyingi uwe umezaliwa nazo kama kipilipili ndo chako piga kipara mm sijawahi kuweka nywele rangi yoyote ila Nina mvi za kutosha zilinianza mapema
 
Back
Top Bottom