Japo post ya muda ila super black ni kawaida yake kuharibu nywele ikiisha lazima iwe nyekundu lazima uwe mteja au uzinyoe uanze upya uzitibie ndo zinaweza rudi hali yake upate shampoo na conditioner za Cantu japo bei ila ndo nzuri Hazina paraben Wala sulphate upate shampoo za sulphate free pia zingatia ulaji wa health upate matunda mbogamboga za green unywe maji sana,pakaa extra virgin coconut oil au olive oil utapata supermarket ukiweza meza suppliment Yaani za Vitamin and minerals nywele zako zitakuwa sawa na kwakua ni post ya 2021 vp nywele zikoje kwasasa.Asante
mkuu unamanisha kweli unacho andikaMagarama makubwa kisa nywele. Anza mfumo mpya kipara ni sawa, mafuta ya Nazi ni bora tena chemsha mwenyewe usinunue ya viwandani.
Asante kwa kujali kiongozi japo ni suala la muda mrefu.Kwa sasa hiyo hali bado inanitesa na hii ni kulingana na mazingira niliyopo siyo rahisi kupata mbadala kama ulivyoanisha hapo juu even though bado miezi minne nitoke mazingira haya.Japo post ya muda ila super black ni kawaida yake kuharibu nywele ikiisha lazima iwe nyekundu lazima uwe mteja au uzinyoe uanze upya uzitibie ndo zinaweza rudi hali yake upate shampoo na conditioner za Cantu japo bei ila ndo nzuri Hazina paraben Wala sulphate upate shampoo za sulphate free pia zingatia ulaji wa health upate matunda mbogamboga za green unywe maji sana,pakaa extra virgin coconut oil au olive oil utapata supermarket ukiweza meza suppliment Yaani za Vitamin and minerals nywele zako zitakuwa sawa na kwakua ni post ya 2021 vp nywele zikoje kwasasa.
Nyoa na uanze upya.Wakuu habari za weekend?
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mwanzo nilikuwa na nywele nzuri kiasi (kipilipili)baadae nikaona niwe napaka super black.
Cha kushangaza nisipopaka super black nywele zinakuwa nyekundu (imagination). Hii ilipelekea kuwa mtumwa wa super black, hali hii inaniboa na nimechoka kuwa mtumwa wa super black. Na nywele zangu naona zinapungua kadri siku zinavoenda.
Ni mafuta gani ya nywele yanaweza kurudisha nywele zangu vizuri (nataman hata za mwanzo). Napenda sana nywele nyingi na nyeusi tiiiii. Nimetumia mafuta kadhaa ya nywele kama castor oil lkn waaap.
Natanguliza shukrani.
Mungu akufanyie wepesiAsante kwa kujali kiongozi japo ni suala la muda mrefu.Kwa sasa hiyo hali bado inanitesa na hii ni kulingana na mazingira niliyopo siyo rahisi kupata mbadala kama ulivyoanisha hapo juu even though bado miezi minne nitoke mazingira haya.
Kwani utaki mvi??Na je kama utaki nikwasababu gani???