Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.