Pre GE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu uliandika hii makala ukiwa umelewa au ni nini?
 
Mkuu umenena vema sana. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
 
Mkuu Paskali, baada ya Tundu kuibuka kidedea kwenye nafasi ya uenyekiti unashauri aendelee kubaki hapa nchini au atimkie Ubelgiji kama ulivyomshauri huyu mdogo wako wa Ilbouru?
 
Kamwe usinene ukamaliza, maisha Yana Siri kubwa kuhusu kesho yetu
 
Hakika ulinena, yametimia
 
Nimejifunza kuws katika dunia hii usitishwe na gumu lolote
 
Kumbe we jamaa hamna kitu kabisa.
 
Nakiri hapa I was wrong!, nili mu under estimates TAL!.
Sasa nimekubali!
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
Kamlete yule Pasco Wa Jambo, huyu Paschal Mayala tunashindwa kumjibu anavyostahiki kwa umri wake. Kama alivyosema Samia anawaonea aibu wale wazee.😔
 
Pasikali sasa chutama wewe, naona mdogo wako tundu Lissu kakuvua nguo hàdharani.
Hàpa uliongea kama chawa mzee.
 
Kaka yake Mkubwa wa Tundu Lisu.

Bado hauamini katika nguvu ya umma?
Umemtetea Abdul na Mama yake hapo kwenye hoja yako. Ina maana unaamini katika rushwa za uchaguzi?

Jiandae kisaikolojia hapo Oktoba 2025
 
Nakiri hapa I was wrong!, nili mu under estimates TAL!.
Sasa nimekubali!
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
Itachukua muda wananzengo kuamini kuwa upo miongoni mwa wanaolitakia mema Taifa letu.

Mada zako nyingi ni kimanipulate thinking capacity za watu hususan kuaminisha uyasemayo huku ukijua unawaredirect wasomaji wako kuamini uhalisia wa maji ya mto yanayokwenda baharini.

Hoja yako imefikia kwenye delta na there will be too many channels enroute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…