Pre GE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ramba ramba uliechamgamka kwenye ubora wako
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 


Kila siku tunakuambia humu usiwe wa kwanza kwa Kila jambo ili uonekane umeandika .. Ni dhahiri Ulitegemea Mbowe angeshinda
 
Kila siku tunakuambia humu usiwe wa kwanza kwa Kila jambo ili uonekane umeandika
Kwanza sii kweli mimi ni wa kwanza kwa kila jambo, na siandiki ili nionekane naandika!, kuna watu humu wanaandika kwa ku chati as past time, lakini mimi kuandika ni kazi yangu, sio kuchati sio past time!.
.. Ni dhahiri Ulitegemea Mbowe angeshinda
Ni kweli sikutegemea kabisa TAL angeshinda, hivyo baada ya kushinda nikakubali nilikosea
Nakiri hapa I was wrong!, nili mu under estimates TAL!.
Sasa nimekubali!
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
No one is perfect, kukosea sio kosa, kosa kurudia kosa!.
P
 
Nyie wazee wa JF ifike muda muwe mnasoma nyakati, inatakiwa mjue zama zimebadilika..!!
Ile miaka yenu ya nyuma sio ya sasa.!!

Wengi mna chuki na Lissu shida nini??
 
Kimekurambaaa
 
Nakiri hapa I was wrong!, nili mu under estimates TAL!.
Sasa nimekubali!
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
Ukiendelee kumpaisha TAL unazidi kupoteza imani ya chama chako juu yako Ili wasifikirie kukupa 'chochote'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…