Pre GE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe ameizamisha Chadema.
 
Nimekuelewa pasikali pale ulipoandika Mbowe kaamua kutetea "UENYEKITI WAKE CHADEMA".
Lissu hana uenyekiti pale Chadema, arudi ubelgiji sasa.
 
Lissu akiondoka CHADEMA.. ndo mwisho wa CHADEMA.

Ukweli ni kwamba walioko na Mbowe ni wachache sana ambao wana maslahi ya kifamilia zaidi. Hili hata yeye analifahamu.

Way forward. Lissu aachane nao tu. WAJIFIE.
 
Mwambie Lisu maneno haya..usiyalete hapa we shetani mdogo..!
 
Brother,Paskal! Mshauri wa TAL ni mtu mbaya sana!
Amemshauri vibaya sana!
Kuchukua fomu ya uwenyekiti,ameingia choo cha kike!
Pia mkumbushe TAL kuwa chadema hainaga kura za huruma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…