Baada ya Mdahalo: Nani anazuia upatikanaji wa Katiba Mpya?

Baada ya Mdahalo: Nani anazuia upatikanaji wa Katiba Mpya?

Wingi wao unatokana na mifumo kongwe

mkuu niliupenda sana huu ufafanuzi na ndio maana ccm hawataki mabadaliko hata ukiwaambia neno TUME HURU YA UCHAGUZI ni kosa maana wanaona utatibua kila kitu
 
Salaam kwenu wanajamvi, Poleni kwa pilika na mvua zinazoendelea nchini ila natumaini ni wazima wa afya. Nawasilisha mawazo yangu kwa mara ya kwanza Jamii Forums kuhusu tatizo la upatikanaji wa katiba katika nchi za Afrika. Katiba za nchi nyingi za Afrika hupatikana kwa kuwaridhisha wananchi lakini lengo kubwa ni viongozi kupata madaraka au kuendelea kubaki kwenye madaraka hayo bila kujali muktadhari wa Taifa husika kwa kipindi kijacho, Pia katika upande mwingine mtaka madaraka haangalia kama akipata madaraka na yeye atakuwa mtawala na kutatokea mpinzani wake ambaye atatumia katiba hiyo hiyo kutafuta madaraka. Mfano mzuri katika nchi ya Kenya ambapo tatizo la katiba katika nchi za Afrika linawatesa leo ni vema Wananchi, Watawala pamoja na Wasome tuwe makini katika hili.
Note: Mawazo huru ruksa kuchangia kwa hoja.
 
Back
Top Bottom