Baada ya mdomo kua mrefu na drama za kijinga nimemrudisha wife kwao halafu nimetafuta house girl. Nimegundua mambo kadhaa

Hiyo mbinu ya nenda rudi angalia
Hako kamchezo akirudi akikuchezea ww ndio ntolee hiyo
 
Mtu anayetumia Quora ni rahisi sana akawa JF. Quora ni ya kijanja juu ya JF na trust me huyo tuko naye humu
Hayupo mkuu, hapendi JF na nilisha kagua sim yake mara nyingi hana jf app na browser anatumia Chrome nilishakagua browse history ya mwaka mzima hakuna link ya jf.

Kuna kipindi nilikua namshirikisha asome thread zinazonivutia baada ya thread kadhaa akakataa nilimushirikishe tena. Hua anaiponda sana jf kua ni ya watu wabish na hakuna maarifa bali mabishano
 
Hizo message anazotuma kulalamika hazina muda mrefu zitatulia.

Afu utarudi hapa ukijing'ata na kugaragara.

Na bila shaka mimi Karucee nitaongoza safu ya mbele kukuimbia mapambio na kukucheka.

Hata nikiambulia tusi fresh tu.
 
Mkuu umeokoa sana jahazi team kiumeni, maaana kuna watu walizidi kulialia hapa.

Yani hata kabla ya kufika kwenye kusema kwamba mbinu yako ni nzuri ama si nzuri, umenifurahisha tu ulivyotatua tatizo lako, na kuleta habari tu hapa.
Nashukuru mkuu nimegundua naweza kutumia mamlaka ya kiume bila kupiga au kufoka na mambo yakanyooka mstari.

Ni kutumia mamlaka ya mume japo siwakosoi wale wanaotia kofi moja.
 
Nashukuru mkuu nimegundua naweza kutumia mamlaka ya kiume bila kupiga au kufoka na mambo yakanyooka mstari.

Ni kutumia mamlaka ya mume japo siwakosoi wale wanaotia kofi moja.
Mwanamme hatakiwi hata kupiga kofi.

Yani ile ukisema tu "Sitaki drama zako" hapo hapo inatakiwa fyoko zote zinaisha.

Ukimpiga mwanamke umeshafeli.
 
Hizo message anazotuma kulalamika hazina muda mrefu zitatulia.

Afu utarudi hapa ukijing'ata na kugaragara.

Na bila shaka mimi Karucee nitaongoza safu ya mbele kukuimbia mapambio na kukucheka.

Hata nikiambulia tusi fresh tu.
Principle yangu ni kua hata mwanamke awe na ku.ma tamu vipi, hata nimpende vipi akiamua na kuondoka aondoke. Sina hulka ya kubembeleza mwanamke eti niwe nae HAPANA.

Na hata yenye ananijua barabara kua nikiletewa maringo nafunga vioo nachapa kapa taratiiibu, akimwaga mboga mimi nawaga ugali, namwaga maji ya kunywa na ya kunawa, na meza nasafisha naweka vitabu na kusoma.
 
Mwanamme hatakiwi hata kupiga kofi.

Yani ile ukisema tu "Sitaki drama zako" hapo hapo inatakiwa fyoko zote zinaisha.

Ukimpiga mwanamke umeshafeli.
Na mimi nilijipiza kamwe sitakuja mpiga tena ni miaka mingi imepita sitaki kufanya unyama huu kwa mwanamke ninayempenda nitatumia tu akili na maarifa mengine sio kuunyoosha mkono juu yake.
 
Hiyo ndoa haiwezi kuwa na utulivu hata kidogo hata ukimurudisha baada ya muda yatajirudia tu.
Dawa hapo mtundike mimba watoto wanafika darasa la nne mke hana hata mimba.
Mkuu unakwama wapi au ndo uoga wa maisha.
Bila shaka nyie mtakuwa kwenye age ya under 30.
 
Hiyo ndoa haiwezi kuwa na utulivu hata kidogo hata ukimurudisha baada ya muda yatajirudia tu.
Dawa hapo mtundike mimba watoto wanafika darasa la nne mke hana hata mimba.
Mkuu mipango, mimba kila mwaka unamchosha mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…