The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ukimrudisha mkeo basi huyo house girl wako unipasie na mimi huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Jimama aka tenki..... ile simulizi ya Analyse ilinichekesha sana. Kila nikukumbuka nacheka peke yangu...... ngoja niitafute nikaisome tenaMkuu vp jimama wako anaendeleaje
Mwanao vp?
Usipp timia maana yake huna msimamo.Ntamrudisha mkuu, mimi mwenyewe nime mmiss sana sana hata huo muda niliopanga sidhani kama utatimia
Hayupo mkuu, hapendi JF na nilisha kagua sim yake mara nyingi hana jf app na browser anatumia Chrome nilishakagua browse history ya mwaka mzima hakuna link ya jf.Mtu anayetumia Quora ni rahisi sana akawa JF. Quora ni ya kijanja juu ya JF na trust me huyo tuko naye humu
Haaha roger that bossUkimrudisha mkeo basi huyo house girl wako unipasie na mimi huku.
Nashukuru mkuu nimegundua naweza kutumia mamlaka ya kiume bila kupiga au kufoka na mambo yakanyooka mstari.Mkuu umeokoa sana jahazi team kiumeni, maaana kuna watu walizidi kulialia hapa.
Yani hata kabla ya kufika kwenye kusema kwamba mbinu yako ni nzuri ama si nzuri, umenifurahisha tu ulivyotatua tatizo lako, na kuleta habari tu hapa.
Haa ha we jamaa unataka mwishoe uvumilivu unishinde nitafune beki tatu afu hapo nitakua nimeharibuUsipp timia maana yake huna msimamo.
Sijakuelewa mkuuHiyo mbinu ya nenda rudi angalia
Hako kamchezo akirudi akikuchezea ww ndio ntolee hiyo
Mwanamme hatakiwi hata kupiga kofi.Nashukuru mkuu nimegundua naweza kutumia mamlaka ya kiume bila kupiga au kufoka na mambo yakanyooka mstari.
Ni kutumia mamlaka ya mume japo siwakosoi wale wanaotia kofi moja.
Namaanisha kumfukuza mtu alaf baadae unamwambia arudi akiwa ni mtu wa visasi atakufanyia jambo akuache na msamaha kama wako asikupeSijakuelewa mkuu
Principle yangu ni kua hata mwanamke awe na ku.ma tamu vipi, hata nimpende vipi akiamua na kuondoka aondoke. Sina hulka ya kubembeleza mwanamke eti niwe nae HAPANA.Hizo message anazotuma kulalamika hazina muda mrefu zitatulia.
Afu utarudi hapa ukijing'ata na kugaragara.
Na bila shaka mimi Karucee nitaongoza safu ya mbele kukuimbia mapambio na kukucheka.
Hata nikiambulia tusi fresh tu.
Na mimi nilijipiza kamwe sitakuja mpiga tena ni miaka mingi imepita sitaki kufanya unyama huu kwa mwanamke ninayempenda nitatumia tu akili na maarifa mengine sio kuunyoosha mkono juu yake.Mwanamme hatakiwi hata kupiga kofi.
Yani ile ukisema tu "Sitaki drama zako" hapo hapo inatakiwa fyoko zote zinaisha.
Ukimpiga mwanamke umeshafeli.
Bahati nzuri kama nilivyomuelezea mke wangu ni mcheshi na mchangamfu sio mtu wa visasi na gubu.Namaanisha kumfukuza mtu alaf baadae unamwambia arudi akiwa ni mtu wa visasi atakufanyia jambo akuache na msamaha kama wako asikupe
Mkuu mipango, mimba kila mwaka unamchosha mke.Hiyo ndoa haiwezi kuwa na utulivu hata kidogo hata ukimurudisha baada ya muda yatajirudia tu.
Dawa hapo mtundike mimba watoto wanafika darasa la nne mke hana hata mimba.