Baada ya mdomo kua mrefu na drama za kijinga nimemrudisha wife kwao halafu nimetafuta house girl. Nimegundua mambo kadhaa

Wasalaam,
Wakuu tuliooa mnajua jinsi ilivyo raha ndani ya nyumba ukiwa na mke, mke huleta faraja, mbususu ya kujipimia, compny hasa mkiwa mnaelewana, utani nk ila pia hawa viumbe kuna muda wanakera sana mliooa najua mnalitambua hili.

Sasa wife ni mtu mchesh mwenye bashasha pia mashalla kaumbwa ni faraja sana kwangu ila kuna muda analeta drama za kijinga napotezea tu kwa busara fresh.

Kuna muda anarefusha mdomo anatoa kauli za kuudhi na unaona kabisa huyu anatamani kofi moja kali la kumtoa wenge ila najikaza tu maana kuna siku nilimpiga kofi akavimba uso week nzima na homa kali juu nikajiapiza kutompiga tena. Sasa ni zaidi ya miaka 6 sijawahi kumnyooshea mkono. Pia tuna watoto wawili mapacha wako shule ya msingi darasa la 4 sasa naona sio busara haata kidogo kumpiga mama yao mbele yao.

Pia mimi sio mtu wa kufoka foka ovyo napenda utulivu sasa hii naona inampa fursa ya kunirefushia mdomo. Kuna mtu alisema mwanamke inabidi amuheshimu mwanaume ila pia amuogope kidogo, mwanamke asipokua na sababu ya kukuogopa anakua na vijitabia vya kijinga ikiwemo mdomo mrefu. Sasa mimi kuondoa kabisa sababu ya kuniogopa kwa kutompiga wala kumfokea naona kabisa anakosa fursa ya kuniogopa japo kidogo ili kukamilisha heshma na adabu.

Miezi 3 iliyopita alinikera sana kwa kauli mbaya na drama, vurugu ili mradi hakuna utulivu nikawa namtazama tu napotezea ikafika hatua akaota mapembe analeta kauli juu yangu, nikasema yatosha nikamrudisha kwao afu nikaleta house girl.

Taarifa zilipomfikia akanitafuta na kuomba msamaha mara kumi kumi nikamwambia akae kwao ajifunze adabu. Akamtafuta house girl kwa simu (sijui alipata vipi namba yake) akamwambia aondoke na atampa hela akafanye kazi mahali pengine amemtafutia. Beki tatu akaniambia huo mpango nikamuongezea mshahara na kumwambia asiondoke.

Wife amekua kama kachanganyikiwa anapiga simu hata mara 5 kwa siku texts za kutosha anaomba msamaha ila muda niliojipangia kumuweka kwao bado haujatimia.

Naweza kusema kwa kweli naona kama mbinu hii imeleta matokeo chanya tena kwa muda mfupi kuliko nilivyotarajia. Maana hata siku namwambia aende kwao kwa muda akajitulize adabu aliondoka huku ana nye nye nye "utanifuata mwenyewe, kwetu sijafukuzwa baba wee" najua alikua anatambua nitam miss sana na nitakosa utamu wako (jambo ambolo ni kweli na hata mimi nilikua namwambia aende ila nafsini napata kihoro)

Sasa hivi hata nikipokea simu zake anaongea kwa adabu ya hali ya juu kabisa. Adabu ya sasa ni kama ile ya miaka 8 iliyopita wakati namchumbia. Akipiga simu cha kwanza atauliza "house girl wako ameondoka" kisha ataulizia naendeleaje kazini alafu kinachofuata ni kuomba msamaha, hua namkumbusha mbona haulizii watoto, anajibu anajua wako salama "wewe ni baba mzuri najua wako salama mikononi mwako sina shaka"

Anaongea kwa adabu na heshima jambo ambalo linanipa hamu nae sana, naamini siku nikimrejesha nitaenjoy kua nae kama ilivyokua awali wakati namuoa. Napenda sana utulivu kukiwa na vurugu hata hamu ya kula tunda hua inakata.

Wanawake tunawapenda ila punguzeni nye nye nye zinatukwaza sana sana msione tumetulia tunawastahi.
View attachment 2218279
naunga hoja mkono.
 
Sawa bwana umeshinda. Ila nina tatizo moja apo kwenye mbususu ya kujipimia mi sijaoa ila mbona naskiaga kuna mda wanakataaga, mara wakalale sebleni, wajifanye wanaumwa, aseme kachoka au sio ya kweli haya
Usidanganywe, Duniani hapa hakuna K ya bure. Hakuna mwanamke anatoa uchi wake bure.

Mwanamke akikupa uchi wake basi lazima uulipie.

Kwa hiyo wanaume wote tunalipia uchi, umeoa ama hujaoa kupata mwili wa mwanamke ni lazima uwe umeulipia.
 
Hizo message anazotuma kulalamika hazina muda mrefu zitatulia.

Afu utarudi hapa ukijing'ata na kugaragara.

Na bila shaka mimi Karucee nitaongoza safu ya mbele kukuimbia mapambio na kukucheka.

Hata nikiambulia tusi fresh tu.
Na mimi nimewaza hivyo,mkewe anaweza kurudi kwa lengo la kumpiga tukio jamaa (Kama kweli atarudi kama hajapata mtu mwingine) tena hii thd ataisoma tu na atajua madhaifu ya jamaa yake,ni bora usingeleta hii thd asingejua uyawazayo moyoni,

Sio kila jambo ni lakupeleka mitandaoni.
 
Mkuu yeye hatumii JF hayupo humu yeye ni mtu wa Quara na twitter
Mmmh mkuu mtu wa quora na twitter kutokua jf ni jambo la kuzingatiwa kidogo.
Huenda yupo ila we hujui, labda anajua wewe upo huku hivyo hataki ujue id yake.

Kwa nnavowaza huu uzi wako ashauona tayari.
 
Naiman amekuelewa, lkn pia watu huwa hatufanani yapasa tubebe madhaifu ya wengne.

Ukitambua kuwa kila mtu ana hulka ambayo anayo, yapasa uchukuliane nae ili maisha yapate kusonga mbele.

Tabia ya maneno maneno inaudhi s kidogo, lkn ndvyo alivyo yapasa ujue n jins gan utakabiliana na hiyo hali. Tabia ya mtu haibadiliki kwa sku au mwez, wahenga wanasema jasr haaachi asili.
 
Wasalaam,
Wakuu tuliooa mnajua jinsi ilivyo raha ndani ya nyumba ukiwa na mke, mke huleta faraja, mbususu ya kujipimia, compny hasa mkiwa mnaelewana, utani nk ila pia hawa viumbe kuna muda wanakera sana mliooa najua mnalitambua hili.

Sasa wife ni mtu mchesh mwenye bashasha pia mashalla kaumbwa ni faraja sana kwangu ila kuna muda analeta drama za kijinga napotezea tu kwa busara fresh.

Kuna muda anarefusha mdomo anatoa kauli za kuudhi na unaona kabisa huyu anatamani kofi moja kali la kumtoa wenge ila najikaza tu maana kuna siku nilimpiga kofi akavimba uso week nzima na homa kali juu nikajiapiza kutompiga tena. Sasa ni zaidi ya miaka 6 sijawahi kumnyooshea mkono. Pia tuna watoto wawili mapacha wako shule ya msingi darasa la 4 sasa naona sio busara haata kidogo kumpiga mama yao mbele yao.

Pia mimi sio mtu wa kufoka foka ovyo napenda utulivu sasa hii naona inampa fursa ya kunirefushia mdomo. Kuna mtu alisema mwanamke inabidi amuheshimu mwanaume ila pia amuogope kidogo, mwanamke asipokua na sababu ya kukuogopa anakua na vijitabia vya kijinga ikiwemo mdomo mrefu. Sasa mimi kuondoa kabisa sababu ya kuniogopa kwa kutompiga wala kumfokea naona kabisa anakosa fursa ya kuniogopa japo kidogo ili kukamilisha heshma na adabu.

Miezi 3 iliyopita alinikera sana kwa kauli mbaya na drama, vurugu ili mradi hakuna utulivu nikawa namtazama tu napotezea ikafika hatua akaota mapembe analeta kauli juu yangu, nikasema yatosha nikamrudisha kwao afu nikaleta house girl.

Taarifa zilipomfikia akanitafuta na kuomba msamaha mara kumi kumi nikamwambia akae kwao ajifunze adabu. Akamtafuta house girl kwa simu (sijui alipata vipi namba yake) akamwambia aondoke na atampa hela akafanye kazi mahali pengine amemtafutia. Beki tatu akaniambia huo mpango nikamuongezea mshahara na kumwambia asiondoke.

Wife amekua kama kachanganyikiwa anapiga simu hata mara 5 kwa siku texts za kutosha anaomba msamaha ila muda niliojipangia kumuweka kwao bado haujatimia.

Naweza kusema kwa kweli naona kama mbinu hii imeleta matokeo chanya tena kwa muda mfupi kuliko nilivyotarajia. Maana hata siku namwambia aende kwao kwa muda akajitulize adabu aliondoka huku ana nye nye nye "utanifuata mwenyewe, kwetu sijafukuzwa baba wee" najua alikua anatambua nitam miss sana na nitakosa utamu wako (jambo ambolo ni kweli na hata mimi nilikua namwambia aende ila nafsini napata kihoro)

Sasa hivi hata nikipokea simu zake anaongea kwa adabu ya hali ya juu kabisa. Adabu ya sasa ni kama ile ya miaka 8 iliyopita wakati namchumbia. Akipiga simu cha kwanza atauliza "house girl wako ameondoka" kisha ataulizia naendeleaje kazini alafu kinachofuata ni kuomba msamaha, hua namkumbusha mbona haulizii watoto, anajibu anajua wako salama "wewe ni baba mzuri najua wako salama mikononi mwako sina shaka"

Anaongea kwa adabu na heshima jambo ambalo linanipa hamu nae sana, naamini siku nikimrejesha nitaenjoy kua nae kama ilivyokua awali wakati namuoa. Napenda sana utulivu kukiwa na vurugu hata hamu ya kula tunda hua inakata.

Wanawake tunawapenda ila punguzeni nye nye nye zinatukwaza sana sana msione tumetulia tunawastahi.
View attachment 2218279
Mkuu, nyumbani kwao na shemeji ni mkoa, wilaya na kijiji gani??.Tuone km tunaweza kukusaidia.
 
Sema huko kwao alipo lazima wajuba watakuwa wameshamkojoza
 
Miaka hii kuna wanawake wanarudishwa kwao?????????

Ndio maana kila siku tunawaambia mabinti kabla hujaolewa hakikisha una uhuru wa kiuchumi......

Una maisha yako

La sivyo utafanywa kama nyanya unarushwa tu shambani, sokoni gengeni mara paap kikaangoni
 
Sema sio mbaya akimiss ya kijana wa nyumbani, unamwacha na akirudi anakua ametulia.
 
Back
Top Bottom