Baada ya Mdude Nyagali kuanza kujitetea kwa hoja nzito Mahakamani apigwa na kuteswa zaidi Gerezani kwa madai ya kuisumbua Serikali

Baada ya Mdude Nyagali kuanza kujitetea kwa hoja nzito Mahakamani apigwa na kuteswa zaidi Gerezani kwa madai ya kuisumbua Serikali

Sasa hao wapuuzi wenyewe walio mbambikizia hiyo kesi unakuta ni uvccm walioko tiss! unategemea nini!

Walau hata alimfaidi yule manzi wa A town kwa kumtafuna kwa siku kadhaa kabla ya kuondoka na kumuachia huo msala wa kubambikiwa!
Kila ubaya utalipwa
 
Ilani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.

Haisemi ufisadi umeisha.

Hata Ulaya kina Morinyo, Messi, Ronaldo mara kwa mara tunasikia aamepelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi.

Hata Chadema wabunge wengi walihama mwaka jana sababu ya ufisadi michango yao. Kinachotakiwa ni kuendelea kupambana na ufisadi
Labda ungesema hata wabunge wa CHADEMA waliounga zile juhudi walilipwa pesa kifisadi! Alafu CAG, anafanya yake, hujafuatilia! Kubwa kuliko litakua report maalumu ya January to March, stay tuned!
 
View attachment 1746703

Madai haya mapya yametolewa mahakamani jijini Mbeya , ambako Mdude Nyagali anaendelea kujitetea dhidi ya tuhuma za uongo alizobambikiwa kinyama za madawa ya kulevya .

Mdude amedai mbele ya Mahakama huku machozi yakimtoka kwamba , baada ya kuanza kujitetea tarehe 25 march 2021 , na kesi yake kuahirishwa hadi leo 8 April 2021 , tarehe 26 alipigwa sana na kuteswa ndani ya Gereza , ambapo watesaji na wapigaji hao ambao ni Maofisa Magereza walimshutumu Mtuhumiwa Mdude kwa makosa mapya ya kuisumbua serikali.

Mdude ameiambia Mahakama kwamba anawafahamu watu wote waliompiga na kumtesa , Kesi hiyo ingali bado inaendelea ambapo muuza unga huyu wa kutengenezwa anaendelea kujitetea .

Chama chake cha CHADEMA kinafuatilia unyama huo uliotendwa dhidi ya Mdude

View attachment 1746702

NO HATE NO FEAR .
Pole mdude wate waliokufanyia ubaya wana mwisho wao malipo hapa hapa dunian
 
Hakuna mbunge aliyehama Chadema kwa sababu ya michango , wote walinunuliwa .
Ni aibu kubwa ya chama, kiongozi wake kununuliwa.
Inaonesha kwamba chama kina viongozi waliopo kwa maslahi yao binafsi na si maslahi ya wananchi.
Shame kwa viongozi wanaonunuliwa, shame kwa chama Chao.
 
Ni aibu kubwa ya chama, kiongozi wake kununuliwa.
Inaonesha kwamba chama kina viongozi waliopo kwa maslahi yao binafsi na si maslahi ya wananchi.
Shame kwa viongozi wanaonunuliwa, shame kwa chama Chao.
Hoja yako ni dhaifu mno !
 
Ni aibu kubwa ya chama, kiongozi wake kununuliwa.
Inaonesha kwamba chama kina viongozi waliopo kwa maslahi yao binafsi na si maslahi ya wananchi.
Shame kwa viongozi wanaonunuliwa, shame kwa chama Chao.
Hii akili na uthubutu wa kuzungumza uharo mbele ya kadamnasi umerithi kutoka kwa shujaa fisadi wa Africa.
 
Back
Top Bottom