Baada ya Mdude Nyagali kutoka, sasa waliomtesa wafunguliwe mashtaka

Baada ya Mdude Nyagali kutoka, sasa waliomtesa wafunguliwe mashtaka

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
1. Waliohusika kumkamata wafunguliwe mashtaka.

2. Waliomtesa wafunguliwe mashtaka.

Tatizo kubwa la Watanzani wengi wana short term vision. Tayari wamesharidhika. Mdude asaidiwe waliomtendea huyo Unyama wote wafunguliwe mashtaka. Wasiachwe hivi hivi. Ili next time wanapotakwa kufanya huo unyama wakatae.

Mkuu wa Polisi aliyetangaza kuwa Mdude ana madawa, walioenda mkamata na waliomtesa gerezani. Msipoe msiridhike amekaa mwaka mzima ndani wakati wates wake waki vuta tu pumzi safi ya Sir God huku uraiani.

Liamsheni Dude wafikisheni mahakamani.
 
Huyo punda wa madawa atamshitaki nani
 
Afunike kombe mwanaharamu apite.kama mama ametumia busara kupunguza misuguano ya kisiasa, haina haja ya hayo mambo ya kuliamsha,mtazidi kuwaamisha watu kuwa hamjitambui.

Upinzani uelakeze nguvu kwenye hili jambo la msingi kwa watanzania wote( katiba mpya).

Tunawaunga mkono kwenye hili hata sisi wananchi wa kawaida.

Vinginevyo inakuwa mikelele isiyo na tija kama miaka yote,mnakuwa hamna jipya la maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kufunika kombe mwanaharamu apite. Mwanaharamu asimamishwe aulizwe anaenda wapi kufanya nini.
Afunike kombe mwanaharamu apite.kama mama ametumia busara kupunguza misuguano ya kisiasa, haina haja ya hayo mambo ya kuliamsha,mtazidi kuwaamisha watu kuwa hamjitambui.

Upinzani uelakeze nguvu kwenye hili jambo la msingi kwa watanzania wote( katiba mpya).

Tunawaunga mkono kwenye hili hata sisi wananchi wa kawaida.

Vinginevyo inakuwa mikelele isiyo na tija kama miaka yote,mnakuwa hamna jipya la maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
 
Back
Top Bottom