Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tulia haya mambo yana ukubwa kukuzidi. Usidhani una uwezo mkubwa wa kupambanua mambo kuliko Mahakama iliyompa uhuru.Huyo punda wa madawa atamshitaki nani
Huoni aibu?😂Huyo punda wa madawa atamshitaki nani
Afunike kombe mwanaharamu apite.kama mama ametumia busara kupunguza misuguano ya kisiasa, haina haja ya hayo mambo ya kuliamsha,mtazidi kuwaamisha watu kuwa hamjitambui.
Upinzani uelakeze nguvu kwenye hili jambo la msingi kwa watanzania wote( katiba mpya).
Tunawaunga mkono kwenye hili hata sisi wananchi wa kawaida.
Vinginevyo inakuwa mikelele isiyo na tija kama miaka yote,mnakuwa hamna jipya la maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Hivi mkuu ni kweli huna akili au unafanya kusudi?Huyo punda wa madawa atamshitaki nani