GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Kocha Benchika kutimuliwa rasmi Simba SC
2. Mwekezaji Mo Dewji kuchafua Hali ya Hewa kwa ama Kujiondoa Simba SC au Kuubadili Uongozi wa Bodi.
3. Mwenyekiti wa Bodi Simba Sports Club Limited Salim Abdallah na Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Kujiuzuru rasmi.
4. Simba SC kuitisha haraka sana Mkutano wa Dharura wa Wanachama.
5. Timu kuwa chini ya Friends of Simba SC na Wazee Waliotengwa na Uongozi wa sasa.
6. Wacheaji Watatu wa Simba SC Wawili Wageni na Mmoja Mzawa Kusimamishwa.
7. Fujo kubwa mno inaenda kutokea Uwanja wa Mkapa Mpira ukimalizika na nashauri kwa wale Wasiopenda Fujo na wanakaa mbali waanze kuondoka sasa Uwanjani.
OMBI
Jeshi la Police Tanzania muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi kwa Kushirikiana na Kikosi cha Kuzuia Fujo ( FFU ) tafadhali ongezeni Ulinzi kwani kuna Fujo Kubwa inaenda kutokea.
Try Again na Mangungu kama mpo sasa hapo Uwanjani tokeni upesi Ondokeni na ikiwezekana leo msilale Makwenu.
Mwisho niwatakie Yanga SC Pongezi nyingi sana kwa Ushindi hata kama bado Mechi haijaisha na nitangaze hapa rasmi kuwa Yanga SC ndiyo Mabingwa tena wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena.
Ngoja sasa nijiandae nitoke zangu hapa Hotelini Nakasero jijini Kampala nchini Uganda nilipo na nikatafute Toto moja la Kinyankole au Kichiga au la Kiganda nipoze Machungu yangu ya Kipigo TULICHOKISTAHILI KUTOKANA NA UPUMBAVU WETU mpaka Kesho Asubuhi.
Yanga SC Shikamoo na R.I.P Gardner G. Habash.