Baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni haya yafuatayo

Simba hatihati kucheza champions league , Azam kuchukua nafasi yao! Viongozi wapishe wengine maana maumivu ni makubwa kwa mashabiki kwa Simba kufungwa derby nje ndani.

Leo Wachezaji wa Yanga walikuwa na presha sana na waling'ang'ania sana kukaa na mpira na kupoteza mpira kizembe kwa kuchelewa kutoa pasi hasa Mudathir , Max na Yao. Waambiwe watulie kwenye mechi kubwa.

Musonda akumbushwe kuwa si lazima alazimishe kufunga wakati wenzake wakiwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga atoe assist.
 
Sie Simba wa kweli hatuna mambo ya kipuuzi kama hayo uliyoandika. Na kama ikitokea Kuna watu watafanya fujo, basi WASHUGHULIKIWE KISAWASAWA na mamlaka husika maana hao sio Simba!
 
Dah! Ila mdogo wangu Jenta unawatesa sana mashabiki wako. Anyway, tunazipokea pongezi zako kwa mikono miwili. 🙏
 
Mkuu nimeguswa na kufarijika sana ulipotaja hao watoto wa kiganda[emoji39][emoji39][emoji39]hawa wana sehemu salama sana ya kujojolea yani zinaandaliwa maalum kwa ajili yetu. unaweza kukojoa adi moyo usipokaa sawa.

sasa unashangilia nini maana umefungwa na uyo gadna ndoivo tena hlf ww unaenda kut.0mba?
 
Mkuu yaani nina Hasira ya Kufungwa ila nimesoma hii Post yako nimejikuta Nacheka sana. Asante kwa kunipunguzia Machungu ya Kipigo.
 
Mkuu yaani nina Hasira ya Kufungwa ila nimesoma hii Post yako nimejikuta Nacheka sana. Asante kwa kunipunguzia Machungu ya Kipigo.
Una machungu gani wewe kinyamkera..umeshawalala wadada wangapi wakiganda hadi saivi..
 
Unasemaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…