Wewe una miaka mingapi ujagusa fainali ya kombe la shirikisho?Mko nyumbani,hatutaki kusikia kisingizio au malalamiko yoyote sijui refa kawaonea , mna uwezo wote wa kumaliza game mapema. Nye ndo mtakuwa na uwezo wa kutuliza game kama presha ipo juu,hatutaki kusikia mechi ngumu wakati mkishindwa kumfunga hata Medeama nyumbani.
Tunatakiwa tuvuke tuingie robo wote hatutaki aibu, hatutaki malalamiko tunataka kushinda,miaka 25 hujaingia hatua ya robo ni aibu hii mnaaibisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu hiyo Miaka nistue...[emoji16][emoji16][emoji16]Wewe una miaka mingapi ujagusa fainali ya kombe la shirikisho?
Na nyie msianze kusema Medeama wabovu wakichapwa. Maana ndio wimbo wenu Makolokocho.Mko nyumbani,hatutaki kusikia kisingizio au malalamiko yoyote sijui refa kawaonea , mna uwezo wote wa kumaliza game mapema. Nye ndo mtakuwa na uwezo wa kutuliza game kama presha ipo juu,hatutaki kusikia mechi ngumu wakati mkishindwa kumfunga hata Medeama nyumbani.
Tunatakiwa tuvuke tuingie robo wote hatutaki aibu, hatutaki malalamiko tunataka kushinda,miaka 25 hujaingia hatua ya robo ni aibu hii mnaaibisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji1787]Mko nyumbani,hatutaki kusikia kisingizio au malalamiko yoyote sijui refa kawaonea , mna uwezo wote wa kumaliza game mapema. Nye ndo mtakuwa na uwezo wa kutuliza game kama presha ipo juu,hatutaki kusikia mechi ngumu wakati mkishindwa kumfunga hata Medeama nyumbani.
Tunatakiwa tuvuke tuingie robo wote hatutaki aibu, hatutaki malalamiko tunataka kushinda,miaka 25 hujaingia hatua ya robo ni aibu hii mnaaibisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidBaada ya Mechi staki kusikia eti Madeama ni Vibonde...
Kibonde pekee tulishampiga tano
🤭🤭🤭🤭