Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Mko nyumbani,hatutaki kusikia kisingizio au malalamiko yoyote sijui refa kawaonea , mna uwezo wote wa kumaliza game mapema. Nye ndo mtakuwa na uwezo wa kutuliza game kama presha ipo juu,hatutaki kusikia mechi ngumu wakati mkishindwa kumfunga hata Medeama nyumbani.
Tunatakiwa tuvuke tuingie robo wote hatutaki aibu, hatutaki malalamiko tunataka kushinda,miaka 25 hujaingia hatua ya robo ni aibu hii mnaaibisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatakiwa tuvuke tuingie robo wote hatutaki aibu, hatutaki malalamiko tunataka kushinda,miaka 25 hujaingia hatua ya robo ni aibu hii mnaaibisha.
Sent using Jamii Forums mobile app