Baada ya mechi ya August 8, Simba muwe wamoja kama mlivyo sasa hivi

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,069
Reaction score
3,899
Baada ya bonanza la Jana simba akuchapana na APR,kelele mtaani zimekuwa nyingi Sana kiasi kwamba sisi Wana yanga tunaonekana tumesajili wanaoitwa wazee,lakn napenda kuwaambia simba huu umoja wao wa masimango na kufarijiana waendelee nao hivi hivi Hadi mwisho mwa msimu, na Sana Sana Kwa kuanzia mshikamano uendelee mara tu baada ya trh 8.

Kwani hawa jamaa huwa siyo wavumilivu hasa wakianza kupokea kichapo migogoro na kutuhumiana Kunaanza na muhunga mkubwa huwa ni mangungu na mangungu Kwa kujibu mapigo Kuna vilaza mashabiki wa simba anawafungia.

Lakini Kuna mashabiki vilaza hawa wa simba mara nyingi huwatuhumu wachezaji wao kuwa wameuza mechi lakn kiuhalisia timu ya simba Kwa sasa imekuwa ya kawaida Sana kiasi kwamba wanashidwa kufikia matarajio ya mashabiki hasa ambao ni mashabiki maandazi wasikuwa na jicho la kimpira kuuona uhalisia wa kikosi chao mwisho wa siku inakuwa mashabiki wanategemea kuvuna mpunga walipopanda bangi.
 
Umekosa reply kwa kuwa umeoongea ukweli mchunguu.ungewasifia angalau kidogo nyuz ijae
Kweli maana bongo hii ukiongea ukweli hupati wafuasi.
 
Nasubiri mods waje wapangilie vizuri hoja na maandishi ya bandiko hili, labda litaeleweka. Jamani hata kama mtu umefeli kidato cha nne, jitahidi basi walau uwe na mwandiko uliopangiliwa na unaoeleweka.
 
Na Kinachokukera Zaidi Ni Yanga kuambiwa kuwa imejaza 'Vibabu'....!

Vibabu oyeeee...!
 
Kesho si ndo tarehe 8? Ngoja tuone watu watakavyojitafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…