Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Baada ya bonanza la Jana simba akuchapana na APR,kelele mtaani zimekuwa nyingi Sana kiasi kwamba sisi Wana yanga tunaonekana tumesajili wanaoitwa wazee,lakn napenda kuwaambia simba huu umoja wao wa masimango na kufarijiana waendelee nao hivi hivi Hadi mwisho mwa msimu, na Sana Sana Kwa kuanzia mshikamano uendelee mara tu baada ya trh 8.
Kwani hawa jamaa huwa siyo wavumilivu hasa wakianza kupokea kichapo migogoro na kutuhumiana Kunaanza na muhunga mkubwa huwa ni mangungu na mangungu Kwa kujibu mapigo Kuna vilaza mashabiki wa simba anawafungia.
Lakini Kuna mashabiki vilaza hawa wa simba mara nyingi huwatuhumu wachezaji wao kuwa wameuza mechi lakn kiuhalisia timu ya simba Kwa sasa imekuwa ya kawaida Sana kiasi kwamba wanashidwa kufikia matarajio ya mashabiki hasa ambao ni mashabiki maandazi wasikuwa na jicho la kimpira kuuona uhalisia wa kikosi chao mwisho wa siku inakuwa mashabiki wanategemea kuvuna mpunga walipopanda bangi.