Yani game moja tayari mmeshaanza kelele?tujipe muda tutarudi tena kwenye huu uzi.
Hatujacheza nao kabisa hawa Esperance hivyo mechi itakuwa ngumu kidogo.Ata ao ES de tunis wanachezea vitasa mda huu wanacheza kama watoto
Pia simba kipindi cha pili hawakupata on target hata mojaHiyo on target ni ile ya mwisho na ilipatikana bahati mbaya tu, ilibidi watoke na zero kabisa mbwa hawa
Rudi basi MkuuYani game moja tayari mmeshaanza kelele?tujipe muda tutarudi tena kwenye huu uzi.