Baada ya Mechi ya simba Vs al ahaly, Simba itacheza fainali msimu wa 2020/2021

Baada ya Mechi ya simba Vs al ahaly, Simba itacheza fainali msimu wa 2020/2021

Jamaa unafatilia mpira kweli?Simba kaanza na mechi mbili nzito na vigogo wa Africa zenye uhakika wa kufika nusu mpaka fainali kila mwaka na zimefungwa...
Hao ndio hawaangalii mpira wanakuja kupiga kelele kwenye mitandao.
 
Ngoja tuweke pozi kwanza Hapa , tutarudi Siku Simba ikichukua ubingwa
 
Yani game moja tayari mmeshaanza kelele?tujipe muda tutarudi tena kwenye huu uzi.

Sio 1 ni game mbili,inategemea umecheza Na nani ingekuwa na mbeya city sawa au ihefu.ila na klabu bingwa duniani namba 3,tena bado wamoto kabisa hata wiki 2 hazijaisha.
 
Kocha wao jana kalalamika kuwa tuliingiza mashabiki wengi, pia hali ya hewa
 
Ongezea hapo Esperance

1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Mamelod
[/QUOTE]
 
Utopolo mwakani wanaweza kwenda CAF lakini hawa jamaa Kwa jinsi ninavyowaona wanakwenda kutia aibu.

usajili wao wa kuunga unga.lawama mzigo.
 
Timu ngumu zipo 3

1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Mamelod

Mamelod hapo mtoe.weka esperance ,kwa muda wa miaka mitano sasa hao ndio wanabadilishana ubingwa wa Africa.
 
malengo ya uongozi wa simba ni nusu fainali lakini Inshaallah kama tutafika fainali na hata kuchukua ndoo .ila niwaombe wanasimba tusiwe na over expectations
 
Back
Top Bottom