Baada ya mechi ya tarehe 25 Tff itawarejesha Almas Kasongo na M/kiti

Baada ya mechi ya tarehe 25 Tff itawarejesha Almas Kasongo na M/kiti

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Hii ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuwasilisha barua ya kujiuzulu na kusimamishwa kazi kwa Almas Kasongo ni geresha tu kwa Yanga ili waone hoja zao zimezingatiwa. Ninaamini baada ya game mbili za Yanga Vs Simba na Yanga Vs Singida hao jamaa watarejea kwenye majukumu yao tu.

Nimekaa paleeee
 
Swali je unafahamu jinsi wajumbe wa bodi ya TFF wanavyo patikana au ndiyo kuandika kwa kujifurahisha
 
It can be anything with these creatures
 
Derby zipo mbili leo sio kesho, Simba vs Bodi ya ligi, Tff vs Azam TV.
Yanga tuipe tu ubingwa wake viishe, kujaribu kuishusha brand kubwa kwa uhuni ni kujimaliza wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom