Swali je unafahamu jinsi wajumbe wa bodi ya TFF wanavyo patikana au ndiyo kuandika kwa kujifurahishaHii ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuwasilisha barua ya kujiuzulu na kusimamishwa kazi kwa Almas Kasongo ni geresha tu kwa Yanga ili waone hoja zao zimezingatiwa. Ninaamini baada ya game mbili za Yanga Vs Simba na Yanga Vs Singida hao jamaa watarejea kwenye majukumu yao tu.
Nimekaa paleeee
vyema umewakumbusha kwamba waliomba uwanja leo kwa ajili ya mazoeziMmpewa ruhusa na Wizara ya michezo, mkafanye mazoezi leo kwa Mkapa.
Na waende match pressMmpewa ruhusa na Wizara ya michezo, mkafanye mazoezi leo kwa Mkapa.