Elections 2010 Baada ya Membe kugomewa; JK kuzungumza na Viongozi wa dini Usiku

afadhali maaskofu wamekuwa wawazi zaidi, wasikubali hawa jamaa kutugawa wananchi! Kumbukeni 2005 walim-endorse kama chaguo la Mungu!
This time, wamemuona amekengeuka.
Long live Tz
Ndio ujue kuwa hawa maaskofu ndio wasanii halisi-Watuambie agano lililoshuka na kusema JK si chaguo la Mungu tena!
 

Mkuu umenikumbusha hapo nilipoweka wino mwekundu. JK kama anauwezo amwokoe Askofu Kilaini kule alikowekwa aje tena kumpigia kampeni

Ndio ujue kuwa hawa maaskofu ndio wasanii halisi-Watuambie agano lililoshuka na kusema JK si chaguo la Mungu tena!

Mkuu Askofu Kilaini ndo alianzaisha hilo la chaguo la Mungu, matokeo yake anayajua, sasa hivi yuko aliko na cheo chake cha kufikirika
 
Mkuu Askofu Kilaini ndo alianzaisha hilo la chaguo la Mungu said:
Sasa huyo alieanzisha kuwa JK si chaguo la Mungu pa kupelekwa pameandaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…