Baada ya miaka 10 nimerudi leo Tabora, aisee Tabora imekuwa Toronto.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hongera sana Aggrey Mwanri.
Nyumba kali za kisasa lami za kutosha katikati ya mji.
Zimebaki nyumba chache za wazawa za udongo katikati ya mji bila shaka miaka 5 mbele watafika dau.
Wahaya wakitoka Bukoba wakifika Tbora wanaweza kudhani wako mamtoni.
Hongereni wana Tabora.
 
Unamaanisha Wahaya kwao hapajajengeka?
 
Hizo nyumba Kali za kisasa amezijenga aggrey mwanri!?....

Huwa unawaza kwa kutumia kiungo Gani cha mwili!?
 
Mi tabora kwetu babu,acha uwongo,Kama ni lami basi mpango wa kuweka lami Barbara za mijini ulianza 2010/11,ni mpango wa serikali,tabora Sasa nyumba zinaanzia manoleo mpaka tumbo,zaidi ya 20km,siyo kazi ya mwanri
 
Kuna jamaa wakati tunasoma chuo, alitokea Tabora, aliwahi niambia Mwenge Dsm ni pazuri kuliko Tabora mjini!!
 
Tabora ni mji wenye bara bara nzuri mjini kwa kweli wamejitahidi sana ukilinganisha na baadhi ya Mikoa kongwe hapa Nchini...ila pongezi sio kwa huyo unaempigia debe nadhani ni uongozi wa Marehemu ulifanya kazi hata ile bara bara ya Mpanda mpaka Tabora ni uongozi huo huo ndio ulifanikisha..
 
Mi tabora kwetu babu,acha uwongo,Kama ni lami basi mpango wa kuweka lami Barbara za mijini ulianza 2010/11,ni mpango wa serikali,tabora Sasa nyumba zinaanzia manoleo mpaka tumbo,zaidi ya 20km,siyo kazi ya mwanri
Mmi pia kwetu masta mwanri kapiga kazi pale kapanda miti ,huwez kumtofautisha meko na mikeka ya nchi hii na maendeleo ya Tabora yamechagizwa zaidi na mkoa kufanywa makao makuu ya Kanda ya magharibi ndio unaona ma lodge ma bar ya kufa mtu kila Kona wqhamiaji wamekuja wengi mboka ndio wanaoshusha hio mijengo mikali apo kati ambavyo sisi wazawa wa mboka tunavyoshusha misuse huku mbweni vijijini nk all in all tabora haitokuja kumsahau Mzee wa soma hio anytime soon
 
Bila picha huu Uzi hauna maana kabisa
 
ni ka mji kamoja hivi amazing... afu watu wake wakarimu usipime
 
Reactions: EEX
Wewe katika hayo maendeleo umeweka anuani gani? Uwiwe kama Yale mafala ambayo kazi Yao ninkusifia tuu, siku hizi kwetu nyumba Bora zimejengwa, mara Kuna maduka mara kusifia miradi ya wenzako, magari tajiri akinunua gari jipya basi wewe ni kulisifu tuu. UNA MRADI GANI UMECHANGIA KUBORESHA MUONEKANO WA KWENU? AU UNASIFIA JITIHADA ZA WANAUME WENZAKO?
 
Kwa kweli naipa Hongera Tabora mjini.
Pamekuwa, pamebadilika na panapendeza.
Mikoa (miji mikongwe) iige kwa Tabora mjini.
 
yeah, hii barabara imefungua shughuli za kiuchumi, before Tabara was locked. Sasa Tabora - Kigoma via Mpanda, Sumbawanga ni super.

Nyingine ambayo itakayounganisha Tabora - Sikonge - Mbeya 374 km itaifanya Tabora itakuwa sehemu ya uwekezaji you can think of.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…