EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
Mkoa mkubwa kishenzi huooo nilitaka kuuziwa hekari moja kwa elfu 15 tu.
Barabara safi.
Bebe za kutosha nadhani nikutokana na vyuo.
Mzunguko wa hela mdogo sana kwa muda wote niliokaa sijawahi kumuona mtu anabugia hennesy au moet.
Misosi supaaa kitimoto,kuku aiseee.
Watu wako poa sana ,wanaufaza sana na bata Tabora analika japokuwa watu mifuko inachechemea.
Mwisho ndio sehemu nilipiga kazi kwa moyo wangu wote na akili zangu zote sikulipwa hata senti na Waserekali chini ya Mkuu wa Wilaya Komanya Kitwala.Mazafaka.