Baada ya miaka 10 nimerudi leo Tabora, aisee Tabora imekuwa Toronto.

Mkoa mkubwa kishenzi huooo nilitaka kuuziwa hekari moja kwa elfu 15 tu.
Barabara safi.
Bebe za kutosha nadhani nikutokana na vyuo.
Mzunguko wa hela mdogo sana kwa muda wote niliokaa sijawahi kumuona mtu anabugia hennesy au moet.
Misosi supaaa kitimoto,kuku aiseee.
Watu wako poa sana ,wanaufaza sana na bata Tabora analika japokuwa watu mifuko inachechemea.
Mwisho ndio sehemu nilipiga kazi kwa moyo wangu wote na akili zangu zote sikulipwa hata senti na Waserekali chini ya Mkuu wa Wilaya Komanya Kitwala.Mazafaka.
 
Zile baiskeli Bado zipo?

Zinaharibu Tabora jamani ni nyingi [emoji23]
 
Hiyo ya Mbeya itafungua zaidi biashara na bus zote za kaskazini zitapita Tabora maana sio ndefu kama kupita Dodoma...
 
Duh!!..kupanda miti ndo kunafanya watu wamudu kujenga nyumba!?
 
Nimehama huko mwaka Jana baada ya kuishi miaka 8 hapo.Maisha yapo wastani sio bei juu.
 
Yeah mboka manyema.Mitaa ya mwinyi,Isevya,Bhachu,kaloleni,Relini, n.k

4 years ya do or die nimeishi huo mji.Nitakuja tembea
 


Sawa kabina, nina swali : Umewahi pia fika Toronto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…