Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #381
Mi hata nisipo kuwepo (nisafiri), ata piga simu aniulizee jinsi ya kufanya home work🤣😂.Unauza machungwa au juice [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... ndio nakomaa nae hapa ila yataka moyo, teachers wavumilivu aisee
👉Nauza machungwa 1 ni 100