Hongera mhenga, maana kuna watu uliwatajia Viduka wanajua ni viosk.Duuh enzi ya kina Alan Smith, Lucas Radebe, Mark Viduka.
Haha ,Hongera mhenga, maana kuna watu uliwatajia Viduka wanajua ni viosk.
Ukawa usajili mzuri uliogeuka mbovu ghafla. Niliamini ni bonge la usajili kumbe kuna watu wamezaliwa kuwa walimu, ukiwabadilisha kuwa Wachungaji wanakula hadi Kondoo wakati wakiwa Walimu hawajawahi hata kutamani mwanafunzi.Haha ,
Alan Smith akaja nunuliwa na Furgeson Man U, kwa Bei kuubwa akaja flop hakuwika Sana Man U.
Hawa ni Norwich tu wamekuja kutalii hamna kitu kabisa [emoji57][emoji57]Klabu ya Leeds United inatajwa kuwa na uhasimu mkubwa na vilabu vya Jiji la London vikiongozwa na Chelsea FC
View attachment 1510089
Leeds United wamefanikiwa kurejea EPL baada ya kuinyuka 1-0 dhidi ya Barnsley katika Uwanja wa Elland Road
Washindani wao wa karibu West Bromwich Albion walipaswa kushinda dhidi ya Huddersfield Town siku ya jana (Ijumaa) lakini West Bromwich walifungwa
Leeds United wanarejea baada ya kucheza madaraja ya chini kwa miaka 16 baada ya kushuka daraja mwaka 2004
Kocha Marcelo Bielsa ameiongoza Leeds United katika kampeni ya kusaka tiketi ya kurejea Ligi Kuu na kufanikiwa kufikisha alama 87 huku akiwa na michezo miwili mkononi
Ilikua hatari sana, nakumbuka hapo nipo form 1 dahDuuh enzi ya kina Alan Smith, Lucas Radebe, Mark Viduka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kudadekHongera mhenga, maana kuna watu uliwatajia Viduka wanajua ni viosk.