Baada ya Miaka 16 Leeds United yarejea tena Ligi Kuu Uingereza

Baada ya Miaka 16 Leeds United yarejea tena Ligi Kuu Uingereza

Leeds inanikumbusha zama za akina LUCAS LADEBE daaah, kweli kitambo sana kwenye EPL
 
Daaah Leeds kitambo sana. Maana mm Bolton ya Okocha ilipo shuka daraja ndio niliacha kuangalia EPL mazima
 
kocha mtata sana bielsa anaujua mpira mpaka basi. wanamuita chizi aliwahi kusema mpira ungekua unachezwa na maroboti asingewahi kupoteza mechi..pep alitembea km nyingi sana kuonana nae kabla hajaichukua barca..mchezaji wake pochetino nae anafuata nyayo na ndio anaemkubali
 
IMG_3174.jpg

After 16 years
 
Le captaino Lucas Radebe, Mark Viduka, Ian Hart, Lee Bowyer, Smith, Dan Mills na kocha wao David O'rlely doh kitambo sana
 
Back
Top Bottom