kocha mtata sana bielsa anaujua mpira mpaka basi. wanamuita chizi aliwahi kusema mpira ungekua unachezwa na maroboti asingewahi kupoteza mechi..pep alitembea km nyingi sana kuonana nae kabla hajaichukua barca..mchezaji wake pochetino nae anafuata nyayo na ndio anaemkubali