Lamisele
Senior Member
- Aug 17, 2022
- 147
- 303
Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo kwenda kasi.
Moja; mtu tajiri duniani Bwana Musk yeye ana mke na watoto afu anatengeneza mke bandia swali najiuliza atakaye oa hilo TOI ukoo wake utaendelezwa vipi au ndio basi tena,ukiugua je?linakupeleka hospitali?na ruti za kupeleka uji na msosi litakuletea? na hizo pesa unazokua bize unazitafuta utakula na nani? ninachojua ukitoka mishe umechoka au ukiwa umekata tamaa na jambo flani ukiwaona wanao wapo kuna faraja na nguvu flani unazipata,hili jambo ni la kulitafakari sn na ni kampeni za kupoteza KOO za watu na low thinkers ndio wataadhirika ila watu wenye akili hawawezi kulikubali.
Pili;Vijana wa kizazi hiki kupenda kitonga na starehe zisizo na maana,unapenda vitu vizuri hutaki kufanya kazi hata kupelekea wengine kuwa mashoga hili nalo linanitafakarisha sn na kama mzazi namwomba sn Mungu na kuwafundisha watoto kazi wasizoee vya bure hapa napo Kwa Kasi iliopo ya vijana kuwa mabwabwa ninaogopa baadhi ya KOO zitapotea kama tusipo kuwa serious na malezi ya watoto wetu.
Tatu;Kampeni ya kataa ndoa,hii Kampeni nayo ni ya kipuuzi sn hakuna jambo lolote hapa duniani ni rahisi Kila kitu kina changamoto zake ni kujitoa ili lifanikiwe hata kwenye ndoa lazima ujitoa kwelikweli ili ndoa idumu Kwa hio haya mambo ya kataa ndoa ndio yanatuletea usaliti hasa tuliopo kwenye ndoa vijana wanajidai hawataki kuoa huku wanatembea na wake zetu yaani ukikamata unapiga Shaba kabisa si uoe wa kwako kumendea wake za watu ndio nn.Ni hayo tu na wewe toa maoni yako kuhusu maada hii.ASANTE.