Baada ya miaka 28 kupita, Freshley Mwamburi asema kumsamehe Stellah kwa kumuacha na kuolewa na Mjapani futi 4

Enzi hizo walikuwa na uvumilivu sana.
 
Aisee.miaka 5 unamsomesha mwanamke..
 
Sasa yeye huko kwao [emoji1139] gunia 2 za mkaa ni bei gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye picha ya stella aweke hapa ... huu uzi bila picha atuwezi kuelewa ni kwanini jamaa aliamua kumsomesha mchumba
 
Huyu mwamba anafananisha mapenzi na nyama choma?

Hafu wakuu 4 nne mbona ndogo sana. Maana kitanda kile ni futi 6 imagine futi 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…