sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
[emoji3][emoji3]Zoba hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Zoba hilo
... tena udaktari Japan!Aisee.miaka 5 unamsomesha mwanamke..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji26][emoji26] Daahh kuwekeza kwa mwanamke Ni upumbavu mkubwa sanaMwaka juzi nilipomuona ktn ama citizen tv ya Kenya akifanya mahojiano ndio nikajua kumbe ilikua hadithi ya kweli.
Mshikaji aliumia sana aisee, nilijaribu kuvaa viatu vya mshikaji nilimsikitikia sana. Mbaya zaidi jamaa alibeba wapambe, ndugu na jamaa kwenda kumpokea Stella uwanja wa ndege halafu akaisha kupata aibu kubwa ya mwaka.
Hua najiulizakama Stella alijua alikua na mume mwingine ilikuaje akamjulisha mashikaji ratiba ya tarehe yake kurudi Kenya, si bora angemficha. Ila wanawake wako hivyo siku wakikuaibisha wanakuaibisha kweli.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ngoja. Apigwe tukio ndio atajua kuwa hajuiJibu lako linaonesha unasomesha mkuu..
Hauna ndugu,.?? Wadogo zako, binamu, wasio na uwezo kijijini unapotokea hadi usomeshe mwanamke.???
Pole in advance...
Ndiye huyu !??
... tena udaktari Japan!