Baada ya miaka 28 kupita, Freshley Mwamburi asema kumsamehe Stellah kwa kumuacha na kuolewa na Mjapani futi 4

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji26][emoji26] Daahh kuwekeza kwa mwanamke Ni upumbavu mkubwa sana
 
Jibu lako linaonesha unasomesha mkuu..

Hauna ndugu,.?? Wadogo zako, binamu, wasio na uwezo kijijini unapotokea hadi usomeshe mwanamke.???

Pole in advance...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ngoja. Apigwe tukio ndio atajua kuwa hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…