Baada ya miaka 35 kundi la ABBA linarudi tena dah!

Alafu nilikuja kugundua baadae sana kuwa Boney M ni (waswahili) na ABBA ni Wazingu (swedish)....mwanzo nilijuaga makundi yote ni ya Wazungu.
Nilikuwa napenda sana kusikiliza Rivers of Babylon.
 
Reactions: mob
What a day??? ABBA ni noma Nyimbo za XMAS hizo.....Nyimbo za 70's lakini still rockin' sio hawa MABASHITE Nyimbo zao BIG G.
 
Abba happy new year
Kila ikifika 1st of january lazma niplay hii ngoma
 
Hivi Hawa Si Ndo Waliimba Sex Eyes?Au Ni Nani Aliimba Huo Wimbo
 
Dah si mchezo,hao ndo wenye vipaji vyao...ukiskiliza their music u feel the music kweli.
 
Nilikuwa napenda sana kusikiliza Rivers of Babylon.

Psalm 137 King James Version (KJV)

137 By the rivers of Babylon, there we sat down, yea, we wept, when we remembered Zion.

2 We hanged our harps upon the willows in the midst thereof.

3 For there they that carried us away captive required of us a song; and they that wasted us required of us mirth, saying, Sing us one of the songs of Zion.

4 How shall we sing the Lord's song in a strange land?

5 If I forget thee, O Jerusalem, let my right hand forget her cunning.

6 If I do not remember thee, let my tongue cleave to the roof of my mouth; if I prefer not Jerusalem above my chief joy.

7 Remember, O Lord, the children of Edom in the day of Jerusalem; who said, Rase it, rase it, even to the foundation thereof.

8 O daughter of Babylon, who art to be destroyed; happy shall he be, that rewardeth thee as thou hast served us.

9 Happy shall he be, that taketh and dasheth thy little ones against the stones.
 
Hata wakisasa tunaijua chiquitaa, spelling sio hiyo nimechoka kugoogle!
 
Wapo vizuri sana...

Sasa hivi siii watakua vikongwe...


Cc: mahondaw

my today's dedication to you Smart911 go and listen to that song again and again naona nimeandika lyrics zake sijui zimeenda wapi so that's your tonight assignment.... chiquitita - Abba
 
my today's dedication to you Smart911 go and listen to that song again and again naona nimeandika lyrics zake sijui zimeenda wapi so that's your tonight assignment.... chiquitita - Abba

I like this guys.. ABBA... Nina Album yao nzima inaitwa ABBA- Gold...

Song's zao reminds me when i was in one place (Country) and it was winter... it was snowing outside and something happened...


 
kwa sasa hatuna music bali tuna kelele tu,na ukitaka uthibishe hilo sikiliza nyimbo za sasa alafu sikiliza na ya boney m au the commodores unaitwa night shift,
 
Abba was a white version of Boney M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…