Tushauri basi, tufanyejeUnapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi mwili wako hua katika kiwango cha juu sana cha metabolism
ukifika miaka 35, unaanza kuporomoka lakini sio kutoka kiwango sawa na cha mtu ambae sio wa mazoezi! wewe unaaanza juu sana kukadiria mwili wako huchoka zaidi unapofika miaka 45 - 50 kama ulikua mtu wa mazoezi, lakini mda huo mtu wa kawaida huporomoka 50% mwili mzima, wengi kuvuka miaka 50 ni ngumu sana kwan mwili umeshachoka karibia nusu nzima, sehem zingine ukifika 60 basi unaachishwa kazi(kustaafu)
Tushauri basi, tufanyeje
huo sio umri wa uzee mjuba, uzee ni miaka kuanzia 7035 ushazeeeka kabisa, apo ni kupanga siku zako za mwishoo
Acheni uongo basi mshua wabgu ana mia 49 mbona yupo sawa tu tena anaonekana kama kijana, mimi nina miaka 26 kwahiyo bado miaka kidhaa tu nizeeke na sina hata mke? acheni uongo wakubwa.35 ushazeeeka kabisa, apo ni kupanga siku zako za mwishoo
😅😅😅35 ushazeeeka kabisa, apo ni kupanga siku zako za mwishoo
35 mkuuuko umri gan
Aisee dah, ndio hivo tena mkuuu, anza kufanya maamuzi magumuu, washukuru ndugu na marafiki kwa maisha ulioishiii👍💯35 mkuu
Muhimu kitambi kitajiondokea, sina shakaAisee dah, ndio hivo tena mkuuu, anza kufanya maamuzi magumuu, washukuru ndugu na marafiki kwa maisha ulioishiii👍💯