Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

huo sio umri wa uzee mjuba, uzee ni miaka kuanzia 70
35 ndo peak perfomance ya mwili, baada ya hapo ndo uzee unakua viungo vyote vinaanza kupungua ufanisi, vitu vidogo kama kupona huchukua mda sana na dawa nyingi hua hazishiki
 
Acheni uongo basi mshua wabgu ana mia 49 mbona yupo sawa tu tena anaonekana kama kijana, mimi nina miaka 26 kwahiyo bado miaka kidhaa tu nizeeke na sina hata mke? acheni uongo wakubwa.
anafanya mazoezi?
 
keyword apo ni lishe na mazoezi
 
Uongo,mbona ufisadi wa ccm miaka 60,unakua kwa kasi kiasi cha kugeuka tembo badala ya binadamu wa kawaida?
 
Kuna bandiko nilisomaga mda sana, wanasema dalili za uzee kwa kwa mwanadamu huanza kujitokeza kuanzia miaka 27.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…