Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baadae ya miaka 39 hatimaye tumefuzu kucheza Afcon.
Wale wote mliokuwa mnaombea timu YENU mabaya shame on you
 
Na jinsi nilivyo na uhakika nimeandika kabla mpira haujaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…