Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Endeleeni na chuki zenu lakini JPM ni bahati kwa watanzania kila anachojaribu kinajibu. Ferguson huwa anasema si ubora wa timu pekee na bahati lazima uwe nayo. Maximo mlimjaza manoti lakini wapi??
Si kila anachojaribu. Vyengine anafeli au hukumsikiliza kwenye khutuba yake leo pale ikulu?
 
Kwanza naipongeza stars na watz kwa ujumla kwa maandalizi na hamasa(build up) kuelekea hii mechi na kwa kuingia AFCON atleast tutakua na kitu cha kuangalia pale June ligi zikiwa zimeisha, ila kusema kweli tusijisifu sana, kwanza tumefuzu kwa kutumia mechi ya mwisho na kuombea wenzetu (lesotho) mabaya hii ni ishara kwamba kazi bado tunayo, pili lazima tukubali kwamba kitendo cha CAF kuongeza NAFASI za timu kutoka timu 16 hadi 24 imechangia kiasi kikubwa urahisi wa sisi kupita lets be honest ndio maana miaka ya nyuma tulikua tukishindwa.
once again VIVA stars, VIVA tanzania.
 
Mafanikio ya Taifa Stars yametokana na Timu za Afcon kuongezwa, na sio Tanzania tu ilio nufaika kuna Burundi, Namibia, Madagascar ata na Kenya.Afcon zimeongezwa timu kutoka timu 16 adi 24, kama ingekua idadi ya zamani Taifa Stars isingefuzu pamoja na izo timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa taarifa yako, Kenya tumecheza afcon nne tangu Tanzania ilipocheza afcon yake ya mwisho

Kenya at the 1988 cup of nations

Kenya at the 1990 cup of nations

Kenya at the 1992 cup of nations

Kenya at the 2004 cup of nations

Uganda nao wamecheza afcon ya 2017 pekee yake kwa kipindi hicho ingawa walifuzu afcon za 1980, 1982, na 1990 ila wakajiondoa.
 
10 million.jpg
from your heart.png
hogera taifa star.jpg
 
Back
Top Bottom