Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

Haiwezekani mtu yupo kwake anaangalia TV alafu anakua wa kwanza kupata bia za makonda, alafu tuliojaza uwanja hadi tufike majumbani tuchelewe kuzipata wakati hamasa zetu ndizo zimepelekea tukapata ushindi mnono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂
Yani wewe akili zako bhana
Bora hujaenda uwanjani mana ungeishika hiyo 'em bii o o' mara tatu!

Mie nikutakie mechi njema Money Penny...fanya viuno kwa utaratibu sasa usije kuivunja 😂😂😂
 
Yeah, at least japo hatuwezi kuilinganisha na ya mwaka 1980 kwa sababu hii ipo diluted, wamechukua timu nyingi kuliko kawaida.
 
Hongera Taifa Stars, Hongera Tanzania.

Kuna walikubeza na wataendelea kukubeza lakini leo chini ya Uongozi Wako Tunaenda Egypt June 2019.

Ulivomteua Emmanuel Amunike tulikubenza sana.

Leo unaingia rasmi katika historia ya nchi yetu Tanzania.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha hahahaha hahaha acha kabisa yaani toka kipindi kile hata hatujazaliwa Leo ndo tunaenda wacha tufurahiiiiii!!!!!!!!! Haters wakaange sumu wale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…