Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

KILA KWENYE MAFANIKIO PONGEZA NA KILA PENYE MAKOSA KOSOA.UKIONA MTU KILA SEHEMU ANAKOSOA JUA ANA CHUKI,HUSDA, UBINAFSI NA UZANDIKI.
 
Kamati kote zipo hivyo ukiona hujaenda kombe la dunia ujue kamati za ushindi za wapinzani wako zimekuwa madhubuti sana kulikokamati yako.
 
Waliopata kutumia vinywaji kwa nusu punguzo watoe mrejesho ilikuwa wapi? au hapo big brain hakumaanisha?

Buscar La Vida Mbezi chini mpk nyama choma kuku choma mbuzi choma ilikua nusu bei

wale wahudumu ni wastaarabu kwahyo sijui km mambo ya bei yaliwahusu
 
Lesotho angemfunga Cape Verde ungemsifu Makonda?,yeye ndiye aliyeita wachezaji?,ndiye aliyepanga kikosi?,alikuwa benchi la ufundi?.

Na hao wasanii wenu ambao hawajui Stars ilikuwa inatafuta tiketi ya kwenda wapi nao wameivusha timu?
 
kwahiyo tusipeleke timu? Basi kama vipi mpeleke mkeo aka tumbuize jinga wewe[/QUO

All in all hongera sana Taifa stars. I love Tanzania. Uzalendo kwa nchi yangu daima, heshima kwa Serikali only kama inastahili!!
 
Uhusika uwe wa pande zote kushinda na kishindwa
 
B
Big brain gani anapata division 0! Big brain gani anavoji vyeti! Brain gani anabebwabebwa !
 
Taifa stars hoooyee!!!. Uzalendo kwa nchi yangu even with my eyes shut! Heshima kwa Serikali mmmmh... only kama inastahili.
 
Pumbavu kabisa wewe, unajua maana ya kuwa hazina ya taifa? Huyo ni hazina ya genge la wahalifu la CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya tunawaweza
Zimbabwe tunawaweza
Burundi tunawaweza
Mauritania tunawaweza
Madagascar tunawaweza....Tujiamini tu tuache kuogopa ogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…